Home » » MATEMBELE NI MATAMU NA YANAONGEZA DAMU MWILINI

MATEMBELE NI MATAMU NA YANAONGEZA DAMU MWILINI

Written By wanawake tunaweza on 8.6.13 | 8.6.13

 Matenbele ni Mboga nzuri sana ya majani,Pia ina vitamini Inaongeza damu kwa kasi mwilini wale wenye ngozi zilizo kakamaa hii mboga pia inasaidia,Upikaji wake ni rahisi unaweza ukaweka nyanya au usiweke ukaweka ndimu au usiweke vyovyote vile inapendeza ni tamu mno.


Share this article :
 
Copyright © 2011. WANAWAKETUNAWEZA.COM - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger